TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu kuambulia pointi moja kufutia suluhu ya bila kufungana na Ecuador Ufaransa wamefikisha pointi 7 kileleni wakifuatiwa na Uswisi wenye pointi 6 katika nafasi ya pili baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Honduras. -
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Post a Comment