Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya Ndugu Humphrey Julias akitoa maelezo kwa viongozi wa Simba Tawi la Mbeya juu  ufunguaji wa akanti ya akiba iliyotayalishwa maalu kwa ajili ya mshabiki au mwanachama wa clabu ya mpira wa miguu Yanga   ambapo ahata hivyo zoezi hilo lilionyesha wengi wa viongozi hao kutolielewa vyema hali ambayo ilimradhimu Meneja huyo pamoja na maofisa wa Benki hiyo kutoa elimu kwa muda mrefu zaidi badala ya kujaza fomu na kupatiwa Kadi zao

Kaimu Katibu Mkuu Yanga Tawi la mbeya Ndugu Thobias Olekujan Ormasai akitaka ufafanuzi wa kina zaidi juu ya mfumo huo.
Jamani mtueleweshe vizuri wenzenu bado hatujui



Zoezi limeeleweka sasa na fomu zinajazwa kwa umakini kabisa ambapo faida kubwa ya akaunti hiyo ni kumuwezesha mwanachama au mshabiki wa klabu hiyo kulipia michango ya uanachama kwa ulahisi zaidi pamoja na kuweka fedha katika matawi yote ya benki ya posta Tanzania na wakala wa TPB POPOTE.
picha na Ngelesi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top