Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Huu ni mfereji  wa Maji yanayotililika kutoka katika  kiwanda cha Cocacola Iyunga jijini Mbeya eneo la Tazara maji ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wakazi wa eneo hilo kwa muda mrefu sasa  hasa kutokana na maji hayo  kuwa kudaiwa kuwa na kemikali ambazo kama zitamuingia mtu mwilini  huwasha na mwili kuvimba.
Maji haya pia imeelezwa kuwa kama utapitisha taili ya gari au pikipiki husafishwa na kuondoa uchafu  huku swali likibaki kwa wakazi wa eneo hilo kuwa madhara yakoje kama yataingia kwenye mazao.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top