Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipokea msaada wa vitabu 1148  pamoja na madawati 120 na kitabu kiongozi cha mwalimu  Kutoka kwa Rais wa Club hiyo Ndugu Melas Mdem kwa shule za msingi  Songwe 2 na Idiga ambazo zote ni shule za Halmashauri ya Mbeya ambavyo vyote kwa pamoja vinathamani ya shilingi Mil14 .7 Picha na Keneth Ngelesi
Mkuu wa Mkoa akifungua vitabu hivyo mara baada ya kjukabidhi rasmi
Kandoro akionyesha baadhi ya vitabu vilivyo tolewa na wadau hao
Mkuu wa Mkoa wa mbeya Ndugu Abbas Kandoro akijaribu moja ya meza zilizotolewa na wadau hao kwa shule za msingi wilayani huo.










Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akishukuru mara baada ya kupokea kwa msaada huo wa kielimu kutoka kwa Club hiyo ya Rotary ya jijini Mbeya

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top