Watoto wenye umri katika ya 7 na 10 wakiwa katika kazi ya kufyatua matofali ambao majina yao hayakupatikana katika eneo la Iganzo nje kido ya jiji la Mbeya ambapo wamedai kuwa kazi hiyo wamekuwa wakilipwa shilingi 2000 kwa siku na wamiliki wa matofali hayo. |
Post a Comment