Msanii wa kizazi kipya Mo Music alivyofanya yake katika shangwe za Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Sokoine . |
Recho alivyo wabamba mashabiki wake |
Barnaba boy alivyo inua mashabiki wake katika kila kona ya uwanja wa Sokoine jijini hapa Serengeti Fiesta niiiiiiiiiiii. |
Ole Themba |
Msanii Linex Mzee wa Bodaboda akifanya yake |
Zilla& Madee Back Starge wakisubiri kuinua shangwe za Serengeti Fiesta 2014 ni Shedaahhhhhh |
Wote yeya yeyaaaaaaaaaaa. |
Muda wa kupiga picha na Dj kwa Feee |
Tunatumia pesa pesa pesa Kabaisa Babilon Mr Blue ameonyesha kuwa yeye ni kichwa na Mbishi katika suala la burudani haikuwa kazi rahisi. |
Tuko pamoja ni mwendo wa kusambaza upendo |
Post a Comment