Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi wakati akiwasili kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bagamyo ambapo anatazamiwa kuetembelea miradi mbali mbali na kuhutubia wananchi wa Bagamoyo jioni ya leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM waliojitokeza wakati wa mapokezi nje ya ofisi za CCM wilaya ya Bagamoyo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupiga lipu ukuta wa jengo la kituo cha afya Yombo kata ya Yombo wilaya ya Bagamoyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top