Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ndani ya Sokoine Mbeya city na Jkt Ruvu kama kawaida K.Vant ikifanya yake
Wazee  wa K  Vant  Gin wakiwa mtaani kufanya yao katika eneo la Uyole jijini Mbeya 
Meneja Mauzo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bw.Lisungu Kipigapasi akitafakari jambo wakati wa moja ya kazi zake.
Hadi kieleweke ndani ya uwanja wa sokoine katika mechi ya Mbeya City na Jkt Ruvu ambapo timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top