Mr Blue Kabaisa alivyowapagawisha wakazi wa Morogoro wiki iliyopita ,Mbeya tarehe 28.09 .2014 ndani ya Viwanja vya City Pub Serengeti Fiesta 2014 ni Shidaaaa!!!!!!!!!!! |
Mtu mzima Madee makamuzi yale yale ,Mbeya tarehe hiyooo 28 ndani ya City Pub usikose |
Vannesa Mdee akifanya yake katika moja ya show za fiesta mikoa mbalimbali nchini ,sasa kwa wakazi wa mbeya kaeni tayari |
Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake. |
Stamina na Ney wa Mitego wakilishambulia jukwaa mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Morogoro wiki iliyopita ndani ya uwanja wa Jamhuri.
|
Post a Comment