Shangwe za Serengeti Fiesta Soka Bonanza 2014 zilivyo bamba katika viwanja vya Chuo Cha Uhasibu( TIA) jijini Mbeya ambapo jumla ya timu Nne toka katika baa mbalimbali za jijini hapa ambazo ni Kalembo,Tughelepo,Salasisya ya Mabatini pamoja na wenyeji wa viwanja hivyo TIA walichuana vilivyo katika kumtafuta bingwa wa bonanza hilo ambapo bila ubishi Salasisya ya mabatini iliondoka na ubingwa mnono wa goli mbili dhidi ya wenyeji wao TIA nakujinyakulia zwadi nono ya katoni 8 aina ya Serengeti huku wenzao wa TIA wakijipatia katoni 4 za bia . |
Post a Comment