Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Afisa Maendeleo jiji la Mbeya Vicent Msolwa wakwanza kulia akiambatana na viongozi wa wafanyabiashara kwa ajili ya kuwaonesha maeneo mapya watakayofanyia biashara zao.  .





Afisa Mfawidhi wa Sumatra Mbeya Ndugu Denis Daud wa pili kushoto akikagua barabara itakayotumika na Mabasi madogo ya abiria Daladala katika eneo la mbele ya bustani ya Sokoine Mbeya ambapo gari hizo zitakuwa zikikatisha eneo la Nbc na kutokea Lejiko badala ya vituo vya zamani vya BP kwa lengo la kuwasaidia wafanyabiashara hao ili kupata wateja...





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top