Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baadhi ya wamachinga wanaofanya biashara zao eneo la posta jijini hapa wakitafakali jambo mara baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa jiji la mbeya juu ya kuhamia maeneo mapya waliotengewa na jiji hilo.
Migambo wa jiji wakihamisha mabanda



Wamachinga wakihamisha mabanda yao na kuhamia eneo jipya la sokine ambalo limetengwa na jiji kwa ajili ya wafanyabiashara hao ndogondogo(Machinga)





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top