Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Meya wa jiji la Mbeya  Atnas Kapunga wa kwanza kushoto akipokea msaada wa madawati 214 yenye thamani ya shilingi mil 15 kutoka kwa Meneja wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mbeya Ndugu Lugesi Makiriye ambapo msadaa huo unakwenda kwa shule za Msingi za Mbata,Azimio pamoja na Shule ya sekondari ya Mbeya day.



Meneja wa Kanda NMB Ndugu Lugesia Makiriye akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhio ya msaada huo ambapo katika hotuba yake alidai kuwa kwa miaka kadhaa benki hiyo imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali ya kimaendeleo kwa wananchi kwa kujikita zaidi kwenye miradi ya elimu madawati  pamoja na viti pamoja majanga mengine.

Afisa Elimu Msingi jiji la mbeya Aurelia Lwenza akishukuru kwa kupata msadaa huo.

Meya wa jiji la Mbeya Atnas Kapunga akizungumza katika hafla hiyo ambapo aliwataka wadau pamoja na Benki hiyo kuto choka kusidia skta hiyo ya elimu hususani katika eneo la madawati.

Baadhi ya madawati yaliyotolewa na Benki hiyo ambapo kwa shule ya msingi Mbata jumla ya madawati 65 na Azimio 65 huku mbeya day ikipatiwa madawati 84.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top