Picha hizi haziusiani na tuki la sasa |
Taarifa zilizotufikia
hivi punde baadhi ya wachungaji na waumini wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo
la kusini magharibi mbeya wamevamia
na na kufunga ofisi kuu za jimbo hilo eneo la Jaranda jijini
mbeya.
Wakati hali
hiyo ikitokea jumatatu Novemba 24 mwaka huu wachun gaji watano wanatalajiwa kufikishwa
mahakama ya wilaya kwa kosa la kungangania
katika nyumba za kanisa baada ya
kusimamishwa kutoa huduma Za kiroho.
Habari kamili
zitakujia hivi punde katiia mtandao huu.
Post a Comment