Meneja Mapato (TRA ) Mkoa wa Mbeya Anord Maimu akizungumza katika kilele hicho katika ukumbi wa mikutano Mkapa jijini Mbeya. |
Wageni waalikwa |
Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa mbeya Dkt Lwitiko Mwakalukwa |
Muda wa kutoa vyeti kwa washindi wanaongooza kwa kulipa kodi mkoa wa mbeya |
Mkuu wa Wilaya ya ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Profesa Nouman Sigalla akizungumza katika kilele hicho. |
Baadhi ya shule jijini mbeya wakiimba mashairi kwa lengo la kuhamasisha wafanyabiashara kulipa kodi katika kilele hicho |
Post a Comment