Mujuru anashutumiwa
kupanga mauaji dhidi ya Rais wa nchi hiyo,Robert Mugabe.
hatua hiyo imekuja
baada ya Kampeni dhidi ya Mujuru iliyofanywa na Mke wa Rais Mugabe, Grace
ambaye kwa kiasi kikubwa anaamini anataka kumrithi Mumewe atakapotoka
madarakani.
Viongozi kadhaa wa
ZANU-PF wameshindwa kutetea nafazi zao katika Chama hicho.BBC
Post a Comment