Ni kaunta ya new city lounge iliosheheni vimiminika vya kila aina kama wihsky,wine za kila aina |
Dancing floor ya kisasa ndani ya new city lounge |
Ni mmoja kati ya watoa huduma safi ndani ya new city lounge |
JIkoni sasa kila aina ya chakula kinapatikana kama soup,kuku,mbuzi choma na n.k |
Parking ya kutosha na usalama wa mali yako ni wa uhakika |
Post a Comment