| Ni kaunta ya new city lounge iliosheheni vimiminika vya kila aina kama wihsky,wine za kila aina |
| Dancing floor ya kisasa ndani ya new city lounge |
| Ni mmoja kati ya watoa huduma safi ndani ya new city lounge |
| JIkoni sasa kila aina ya chakula kinapatikana kama soup,kuku,mbuzi choma na n.k |
| Parking ya kutosha na usalama wa mali yako ni wa uhakika |






Post a Comment