Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Huu ni usafiri wanaoutumia wakazi wa Chunya Mbeya hali ambayo inaonyeshaawazi  kuwa bado wakazi wa maeneo hayo wanapata adha ya usafiri licha ya serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka Mbeya hadi Chunya jamani wahusika lioneni hili 








Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top