Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ule usemi wa duniani  watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa wawili hawa kupimwa DNA





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top