Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda  Mkoani Morogoro
















  Paparazi wa Mtandao wa Global Publisher Dustan Shekidele akiwa kazini kwenye haursi hiyo.
            Wakikata kike yao ya harusi

 Bi,Harusi akipeleka zawadi kwa wakwe zake kwa staili ya kupiga magoti


 Kipengele kilichokuwa kikisubiriwa na wengi'Menyu'
           






 Waandishi wa habari wakiongozwa na Ramadhani Libenanga'Kutty Fella'mwenye shati la Mistari  kulisakata Twisti.
 Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Lilian Lucas'Kasenene'akiwasilisha zawadi yake ya waksi
 Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Mhe Amir Juma Nondo akiwapa mkono wa pongeza maharusi hao.
 Wakiga baada ya kukamilika kwa harusi hiyo
 Mwandishi wa habari Gazeti la Nipashe Ashtoni Balaingwa na mkewe ndio waliobeba jukumu la kuwasimamia maharusi hao kwenye ndoa yao.


Baada ya kufunga ndoa hiyo mpango mzima ulihamia ndani ya Ukumbi wa Mambo klabu ambapo kulifanyika sherehe ya kufa mtu kwa Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Amir Juma Nondo kuwaongoza wageni waarikwa wengi wao wakiwa waandishi wa habari na familia zao pamoja na wadau wa tasnia ya habari mkoa wa Morogoro kura,kunywa na kucheza muziki katika sherehe hiyo iliyofanya.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top