Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kamanda wa Polisi Mbeya Ahmed Msangi akizungumza na ndugu na jamaa wakati wa kuaga mwili wa askari  WP Judith yumbani kwa askari huyo SAE jijini mbeya  aliyeuwawa na majambazi ambao walivamia kituo cha polisi Ikwiriri  wilayani Rufiji Mkoani Pwani na kuua askari polisi wawili na kupora silaha tano za SMG na mbili za kufyatulia mabomu ya machozi zilizokuwepo kituoni hapo na kutokomea kusikojulikana.
















Picha zote na David Nyembe wa Fahari News.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top