Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema,” amesisitiza.
“Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story.” Martin Alimaliza.
Lisome hapa chapicho hilo: WEMA AMPELEKA DIAMOND POLISI
Kuwa nasi kukuletea "update" zote kuhusu sakata hili hadi ukweli upatikane maana stori inaenea kwa kasi zaidi ya sakata la "ESKROO"
Post a Comment