"Kutokana na upendo wake kwangu alithubutu kuniambia kuwa alitamani
nizaliwe tumbo moja na yeye ili asiweze kunipoteza katika maisha yake
coz tukiishia wapenzi itafika muda tutagombana na tutaachana..But yote
yalikuwa ni maneno tu ambayo kila mwanadamu anaweza kutaamka..Siamini
kama leo hii nimekua ADUI yake mkubwa.....coming soon hayo maneno
utayasikia kwenye bonge la movie CHOZI LA RIZIKI". Shamsa aliandika maneno hayo mtandaoni akiwa ‘lokesheni’ na
kuwashukuru Jerusalem Filim Campany ambayo amekuwa akifanya kazi nayo. “All in All thank u so much JERUSALEM FILIM COMPANY without u nisingekuwa hapa nilipo...I LOVE MY JOB pls God stand by me”
Post a Comment