Mwigizaji huyu ambe mara kabdhaa amekuwa akijisifia kuwa na FIGA nzuri kwani hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na pesa angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu kizuri sana.
“Kuwa mama ni kazi poa sana- naipenda sana yaani ningekua na uwezo wa kipesa ningezaa team ya mpira”
Mbali na watu kuendelea kumshambulia kuhusu uvaaji wa nguo zake akiwa na mtoto wake mwananamama huyu ameonekana ni mtu mwenye kufanya kile anachokiamni na sio watu wanataka nini.
Jionee baadhi ya picha hapo juu akiwa na mtoto wake ufukweni.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.