BAADHI ya wanafunzi wa skuli ya Benbella wakifuatili kwa
makini utaratibu wa maonesho ya kutimia miaka 90 ya skuli ya sekondari
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein alipokuwa kitembelea mabanda mbali mbali ya maonesho hayo
leo skulini hapo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwangalia wanafinzi wa Sayansi Hamada Sheha Vuai na Sumaiya Ussi Abdalla wa Skuli ya Sekondary ya Lumumba wakifanya upasuaji wa Panya wakati alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo Skulini hapo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwangalia wanafinzi wa Maandalizi wa Skuli ya Mkunazini Mjini Unguja Darasa la tatu (3) ambao wanatumia kompyuta kwa njia ya kusoma Vitabu wakati alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Wanajumuiya ya Wasaidizi wa Sheria (ZAPAO) wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya kutimia miaka 90 ya Skuli ya Sekondary ya Benbella leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Risala kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondary ya Benbella Kibibi Mohammed Mbarouk katika sherehe ya kutimia miaka 90 ya Skuli hiyo leo,[Picha na Ikulu.]

Post a Comment