Mchezo
uliokuwatanisha wenyeji timu ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mjini
Shinyanga dhidi ya timu ya Simba umeingiza jumla ya tsh. milioni 31.
Juma la watazamaji
5,439 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo, ambao timu ya Stand imepata mgao
wa tsh. 6,564,268.22 na Simba wakipata mgao wa tsh. 4,661,581.78.
VAT (18%) tshs. 4,763,135.59
huku FA mkoa wakipata tsh.665,940.25,
FDF tsh. 1,141,611.86, Bodi ya Ligi tsh. 1,522,149.15, Gharama za mchezo tsh.
1,617,283.47, Uwanja tsh. 2,854,029.66, Gharama ya tiketi tsh. 1,593,000,00,
FDF tsh. 2,921,000.00, TFF tsh.2,921,000.00
Katika uwanja wa
Sokoine mbeya jumla ya tsh. 74,600.000.00, zilipatikana kutokana na watazamaji
14,920 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo, VAT(18%) tsh.11,379,661.02, CDRB (5%)
tsh.3,730.000.00, FDF tsh. 5,222,000,00, TFF tsh. 2,238,000.00, Uwanja tsh.
7,804,550,85, Gharama za mchezo tsh 4,442,578.81, Bodi ya Ligi tsh.
4,162,427,12.
Chama cha soka mkoa
(FA) Mbeya kimepata tsh. 1,821,061.86, FDF(TFF) tsh. 3,121,820.34, wenyeji timu
ya Mbeya city wakipata tsh. 17,950,466.95 na klabu ya Yanga tsh. 12,747,438.98.
MWISHO
Post a Comment