Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waziri Mkuu Mheshimiwa  Mizengo  Pinda akimsikiliza kwa makini mmoja wa wanafunzi wa masomo ya sayansi kidato cha kwanza katika shule hiyo ya Igomelo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbeya baada ya kuzindua rasmi maabara ya masomo ya sayansi katika shule hiyo Feb 24 mwaka huu.



Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akipokelewa na  wananchi wa Halmashauri ya Mbarali mara baada ya kuzindua rasmi maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Igomelo Februari 24, 2015.
Wananchiwalio hudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa maabara
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitoa salamu zake kwa wananchi waliohudhuria hafla hiyo.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akihutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Igomelo Wilayani Mbarali Mkoani mbeya Februari 24, 2015

Mbunge wa jimbo la Mbarali Dickson Kirufi
JAMIIMOJABLOG






Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top