WANASAYANSI WAJA NA NYINGINE HII INAHUSU WAPENDANAO>>>SOMA HAPA A+ A- Print Email Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili. Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada.BBC Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070
Post a Comment