Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Rais Jakaya Kikwete leo amezindua studio mpya za kisasa zaidi kuliko zote Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazomilikiwa na Azam TV.... Katika uzinduzi huo naibu Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media ndg Tido Mhando amesema wazo la kuanzishwa kwa Azam TV lilitoka Azam FC...
Kama mashabiki wa Azam FC hatuna budi kujivunia klabu yetu kwani ilizaa wazo lililoleta mapinduzi makubwa ya tasnia ya habari.CREDIT AZAM TV




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top