Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Watanzania Twazidi Kuwa Juu kwenye Burudani Africa..Mtanzania Ashinda Shindano la Airtel Trace Music
Kijana anayejulika kama Mayunga ameitoa kimasomaso Tanzania baada ya kushinda shindano la music lijulikanalo kama Airtel Trace Music lililoshirikisha nchi kumi na mbili za Africa ,  shindano hilo lilifanyika jumamosi iliyopita nchini Nairobi ..Kwa ushindi huo Mayunga amepata deal la kuwa chini ya Record label ya Mwanamuziki Akon ijulikanayo kama Kon live na  Universal music Group.... Mayunga anaungana na kina Diamond na Idriss katika kuitangaza Tanzania vizuri katika ramani ya Dunia

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top