Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.
Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha, akiwasalimia wanachama kwa Salam ya chama hicho 
Kiongizi Mkuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe. akizungumza na wanachama Mbalimbali toka Nje na Ndani ya Dar es salaam  katika uzinduzi wa chama hicho na kuwaomba wanachama popote walipo waipigie  Kura ya Hapana  Katiba Pendekezwa.
Kikundi cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo
Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wanakikundi wa kasimbo Asili, toka Mkoa wa Kigoma Kijiji cha Nyarubanda Kataa ya Mkigo Wilaya ya Kigoma wakitoa salam ya Chama hicho wakiwa wanajiandaa kuingia kwa Nyimbo za Ali ya Mkoa wao katika Mkutano wa Uzinduzi wa Mkutano wa  Alliance for change and Transparecy (ACT)
Baadhi ya Wafuasi wa Chama hicho wakiingia Ukumbini
Msanii Afande Sele akiwa na wanachama wa Alliance for change and Transparecy (ACT) katika Picha ya pamoja kwenye Uzinduzi wa Chama hicho
aadhi ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa  Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Msanii  wa Makomando Said Christopher akisalimia Viongozi alipopanda juukwaani na mwenzake/CREDIT.MICHUZI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top