Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Meneja wa PSI Mkoa wa Mbeya Ndugu Edgar Mchuki akizungumza na wamiliki wa maduka ya madawa jijini Mbeya (Pharmacy )na wasambazaji wa bidhaa za Psi   katika hafla fupi iliyoandaliwa na PSI kwa Kushirikiana na jiji la Mbeya katika hoteli ya Paradise jijini hapa.
Mwawakilishi wa Kissa Pharmacy  ya jijini Mbeya Amina Gasper Singo  akifuatilia kwa makini maelezo yanayotolewa na Meneja wa Psi Mkoa wa Mbeya Ndugu Edgar Mchuki katika hafla fupi iliyoandaliwa na shirika hilo kwa kushirikiana na halmashauri ya jiji la Mbeya katika Hotel ya Paradise Soweto jijini hapa Machi 28 mwaka huu .
Mmoja wa viongozi wa Psi Mkoa wa Mbeya
Sunday Beebwa Afisa Mahusiano wa Psi Kanda akionyesha moja ya bidhaa zinazo sambazwa na shirika hilo katika hafla fupi iliyoandaliwa na Psi kwa kushirikiana na Halmashauri ya jiji la Mbeya katika Hotel ya Paradise na kuhudhuriwa na  wamiliki wa maduka ya madawa muhimu (Pharmacy)  jijini Mbeya .



Victoria Lunanilo Mratibu wa Ukimwi jiji la Mbeya akizungumza katika hafla hiyo.







Bidhaa za PSI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top