Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Dkt Ezekiel Magwai  Meneja wa Shirika la Uzazi wa Mpango Kanda ya Kusini ambalo lilihusika katika utoaji wa mafunzo ya Afya ya Uzazi wa Mpango kwa wanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe Tawi la Mbeya ambapo uzinduzi wa kampeni hiyo umeendana na utoaji wa mafunzo ya Afya ya Uzazi wa Mpango kwa vijana kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho..


Burudani
Wahitimu wa mafunzo ya Elimu ya Afya ya Uzazi kwa vijana ambao ni wanafunzi wa chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Mbeya wakisoma Lisala kwa kwa Mgeni Rasmi .

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akisalimiana na wahitimu wa mafunzo ya elimu ya Afya ya  uzazi wa mpango kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Mbeya.
Jumla ya Wanafunzi 28 ambao wamehitimu mafunzo ya elimu ya afya na uzazi wa mpango Chuo kikuu  Mzumbe Tawi la Mbeya katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa..
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akizungumza katika ufungaji wa mafunzo hayo katika viwanja vya Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Mbeya.Picha David Nyembe
 









 JAMIIMOJABLOG






















Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top