Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa Mwenye Tshart nyekundu akisisitiza jambo kwa wananchi walioshiriki zoezi la usafishaji mazingira (usafi) katika eneo la stendi ya mabasi madogo Kabwe jijini hapa kama sehemu ya mkakati wa jiji la mbeya kufanya usafi kila mwisho wa wiki kwa kushirikisha wananchi wa jiji hilo pamopja na viongozi wa kiserikali.Picha na David Nyembe wa Fahari News
 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akiendelea na zoezi la usafi




Zoezi likiendelea









Askari JKT wakiendelea na zoezi la usafi ambapo kila mwananchi aliyekatiza katika eneo waliopo askari hao alishikishwa vifaa vya usafi na kujumuika katika zoezi hilo la usafi.

















Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top