Maandalizi ya
mkutano mkuu wa mwaka wa TFF utakaofanyika mjini Morogoro kati ya Machi 14,15
mwaka huu katika Ukumbi wa Morogoro Hotel yanaendelea vizuri.
Agenda za mkutano mkuu ni:
1.Kufungua Mkutano
2. Uhakiki wa
Wajumbe
3. Kuthibitisha
Ajenda.
4. Kuthibitisha
Muhtsari wa Mkutano Mkuu uliopita.
5. Yatokanayo na
Mkutano uliopita.
6. Hotuba ya Rais.
7. Ripoti kutoka
kwa Wanachama
8. Kuthibitisha
ripoti ya utekelezaji wa Kamati ya Utendaji.
9. Kuthibitisha
ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu 2013.
10. Kuthibitisha
ripoti ya Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu.
11. Kupitisha
bajeti ya 2015
12. Marekebisho ya Katiba
13. Mengineyo
14. Kufunga
Mkutano.
Post a Comment