Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waziri wa Ujenzi ,Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mkuu wa wilaya ya Same ,Herman Kapufi wakati 
akifanya ukaguzi wa barabara kutoka Korogwe/Mkumbara hadi Same yenye urefu wa  Kilomita 172, inayojengwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya dunia (WB).
Waziri wa Ujenzi Dkt ,John Magufuli akizungumza na wakandarasi kutoka kampuni ya Dot Services ya nchini Uganda inayo jenga barabara ya Korogwe/Mkumbara hadi Same.
Waziri wa Ujenzi Dkt Magufuli akizungumza jambo wakati alipokutana na watenadji wakuu wa kampuni ya Dot Services wanaojenga barabara ya Korogwe/Mkumbara hadi Same.  
CREDIT MICHUZI

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top