Na Lupakisyo Kingdom na Saimeni Mgalula
MSANII wa nyimbo za kizazi kipya (bongo freva) Yusuph
Mohamed “YUXAFI” mkali wa Tunduma , amedai katika uimbaji wake atakaza buti kimuziki
mpaka kufikia nyayo za nyota Rich Mavoko.
Akiongea na Blog ya Jamii moja jana mji Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya ambapo ndipo
makazi ya msanii huyo yalipo, alisema
ndoto yake kubwa ni kumfikia masanii Rich Mavoko.
“Nina kipaji cha uimbaji, lengo langu ni kuwa msanii mkubwa
kama Rich Mavoko anae tikisa kimusic hapa nchini kwetu” alisema.
Alisema kuwa kilicho msukuma mpaka kuingia katika tasnia ya
music ni kutokana na kuvutiwa na msanii aliejizolea umarufu lukuki hapa chini
Rich Mavoco.
Mwisho
Post a Comment