![]() |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa akiwahutubia wakazi wa Itolwa ambapo aliwaambia kuwa katika chaguzi za mwaka huu hatokata jina la chaguo la watu. |
![]() |
| Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Itolwa wilaya
ya Chemba mkoani Dodoma ikiwa sehemu ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi ya CCM 2010. |
![]() |
| Wananchi wakifuatilia hotuba za wananchi. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Kondoa Kusini Juma Nkamia akiwahutubia wakazi wa Itolwa waliofurika kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipitia taarifa zinazohusu maji na umeme katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akiwasalimu wananchi wa Itolwa |














Post a Comment