Msanii
mahiri wa bongp feva Barnabas akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Shamsa Hamud(kushoto)na Glory Mtui
wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya Ishi Kistaa inayoendeshwa na Vodacom
kwa kushirikiana na Green Telecom yenye malengo ya kuendeleza vipaji
vya vijana chipukizi wa muziki na muvi kurekodi muziki au muvi na kuwapa
frusa ya kuishi maisha ya kistaa ambayo wamekuwa wakiona wasanii
wakiishi ili kushiriki katika promosheni hii unatakiwa kutuma neno STAA
au STAR kwenda namba 15760 na utachagua staa unayempenda na utatumiwa
maswali kuhusu huyo Staa na unaweza kuibuka mshindi,Kila wiki kuna
mshindi mmoja anapatikana.
|
Post a Comment