Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Basi la Nganga linalofanya safari zake Iringa Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kutekuetea kwa moto katika maeneo ya Milimani kilomita kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro majira ya saa 2 asubuhi leo hii APRIL 12 mwaka huu ambapo watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamepoteza maisha kwa kutekutea kwa moto .

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top