| Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha. |
| Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab
Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo
zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity
.
|






Post a Comment