Abiria pamoja na baadhi ya wananchi wakijaribu kuokoa wahanga katika ajali ya mabasi ya Ratco Dar Tanga pamoja na Ngorika Arusha Dar baada ya kugongana katika eneo la Mkata Mkoani Tanga majira ya saa 7 mchana bado haijathibitishwa ni idadi ya wangapi waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
Post a Comment