![]() |
| Waendesha Bodaboda jijini Dar wakitembelea maeneo ya Vituo vya Daladala kuchukua abiria Baada ya Daladala kuingia katika Mgomo leo. |
![]() |
| Daladala za leo zilikuwa ni hizi, hapo ukiwa na buku mkononi unafika safari yako. |
![]() |
| Bodaboda ndio habari ya mujini leo. |
![]() |
| Mijadala ikiendelea kwa wadau mbalimbali wanaofanya shughuli zao katika kituo kikubwa cha Mabasi cha Ubungo jijini Dar.CREDIT MICHUZI MATUKIO |
![]() |
| Mara lori likazuiliwa na watu hawa, wakidai kuwa amepakia abiria hivyo anatakuwa kuwashusha kama anataka kuendelea na safari yake. |
![]() |
Huyu akajikuta akining'inia baada ya kupigwa tanganyika jeki na Askari kanzu.
|
![]() |
| Haya ingia humooo.... |
![]() |
| Ubungo mambo yalikuwa si shwari leo. |




















Post a Comment