Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM) Aman Kajuna akizungumza na Viongozi wa waendesha boda boda Mkoa wa mbeya kwa lengo la kuwasikiliza na

kujua mapendekezo yao juu ya kero zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu yao, ambapo amewasema  kuwa  kuna haja ya viongozi hao kukutana na mofisa wa TRA ili kwa pamoja waweze kumaliza tofauti za mikanganyiko iliyopo ili ikiwezekana pikipiki na bajaji zote za mkoani hyapa ziweze kubadilishiwa namba hata kabla ya Desemba kufika.   .



Viongozi wa waendesha boda boda kutoka wilaya mbambali za mkoa wa mbeya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna ambapo katika mkutano huo viongozi hao wa bodaboda walitoa kauli ya kuipongeza serikali kwa hatua ya kusikia kilio chao na kuamua kuongeza muda wa usajili wa namba mpya za pikipiki hizo kutoka mwezi machi hadi Desemba mwaka huu.. .





Mkutano ukindelea


Mwenyekiti wa bodaboda Mkoa wa Mbeya wa kwanza kushoto  Vicent Mwashoma pamoja na  Katibu wa Bodaboda jiji la Mbeya Msumba Mdesa wakisikiliza kwa makini yanayoendelea katika mkutano huo.







Wanahabari wakichukua mawili matatu katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Cofee Garden jijini Mbeya









Picha ya pamoja Viongozi wa Bodaboda Mkoa wa Mbeya pamoja na Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya Ndugu Aman Kajuna














Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top