Shirika la kiinteligensia la Korea
kusini linasema utawala wa Korea kaskazini ,mwaka huu, umewauwa watu
waliokuwa na nyadhfa za juu wapatao 15 , wanaodhaniwa kuwa wapinzani wa
utawala wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un, kama njia ya kunyamazisha
upinzani nchi humo.
Mmoja wa wanaripotiwa kuuawa alikuwa naibu waziri aliyelalamikia na kukosoa sera ya misitu nchini humo.
Habari hizi zilitokea wakati shirika hilo la kiintelijensia lilipozungumza na kundi la watunga sheria wa huko Korea Kusini.
Korea
kazkazini haijatoa kauli yoyote kuhusiana na madai hayo lakini uongozi
wa nchi hiyo umewahi kuwauwa baadhi ya wapinzani wao.BBC
Post a Comment