| Katibu Mkuu Uvccm Taifa Ndugu Sixtus Mapunda akizungumza na wafanyabiashara hao |
| wananchi na baadhi ya wanachama wa ccm eneo la Ilemi jijini Mbeya wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wa jumuiya hiyo . |
| Mwenyekiti wa Uvccm Wilaya ya Mbeya Ndugu Junior Matukuta akizungumza katika mkutano huo. |
| Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya Ndugu Aman Kajuna akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano huo April 28 mwaka huu. |
| Katibu Mkuu Uvccm Taifa Sixtus Mapunda akizungumza katika mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya soko la Ilemi jijini Mbeya |
| Mkutano ukiendelea |






Post a Comment