| Mke wa marehemu fredy Bakalemwa mwenye sweta jeusi akiwa na watoto wake wawili |
| Waombolezaji katika msiba wa marehemu Bakalemwa |
| Mtoto wa marehemu akifarijiwa na ndugu na jamaa katika masiba huo |
| Ndugu na jamaa wakimfariji mke wa marehemu Fredy Bakalemwa |
| Diwani wa foresti Boidi Mwabulanga akitoa neno la shukrani katika msiba huo |
| Mwenyekiti Uvccm Mbeya Amani Kajuna akimfariji mke wa mfiwa katika msiba huo |






Post a Comment