| Add caption |
Washiriki wa warsha kuhusu maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli ya Njuweni Kibaha.
|
| Baadhi
ya waandishi wakiwa katika warsha ya siku tano kuhusu kuhusu mradi wa
maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli ya
Njuweni Kibaha.
|
Serikali
ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya
matumizi ya fedha katika ngazi zote. Mradi huu umekuwa wa awamu 4
kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Awamu ya kwanza (I) ilikuwa kutoka mwaka
1998 – 2004 huu ulikuwa na malengo ya kudhibiti matumizi,
kuweka nidhamu ya fedha pamoja na kukuzana kuimarisha uchumi mpana.
1998 – 2004 huu ulikuwa na malengo ya kudhibiti matumizi,
kuweka nidhamu ya fedha pamoja na kukuzana kuimarisha uchumi mpana.
Awamu ya pili (II)
ilikuwa kutoka mwaka 2004 – 2008 malengo ya mradi huo yalikuwa ni kuimarisha na kuendeleza mifumo na njia zinazotumika katika malipo ya fedha za umma kwa kutumia njia rahisi na nyepesi. Aidha awamu hiyo ilizingatia pia uimarishaji wa njia ya ukusanyaji mapato na jinsi ya kuweka mbinu ya kuzitumia rasilimali fedha na kuweka mikakati ya kipi kianze kwanza.

Awamu ya tatu (III)
ilikua kuanzia 2008 – 2011, mradi huu ulikua na malengo ya kuhakikisha kuna kuwa na upatikanaji rasilimali fedha kutoka katikaTaasisi mbalimbali za kifedha.
ilikua kuanzia 2008 – 2011, mradi huu ulikua na malengo ya kuhakikisha kuna kuwa na upatikanaji rasilimali fedha kutoka katikaTaasisi mbalimbali za kifedha.
Awamu ya nne (IV)
ya mradi ni kuanzia June 2012, mradi ulizinduliwa na kuanza rasmi tarehe 1 Julai, 2012. Madhumuni ya mradi huu katika awamu ya nne umelenga katika kuonge za nguvu ambayo itawezesha kufikia malengo ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025, hiyo inaenda sanjari na mpango wa maendeleo wa miaka mitano yaani 2011/2012 – 2015/2016 na MKUKUTA (MkakatiwaKukuzauchumi Tanzania)/ MKUZA (Mkakati wa Kukuza uchumi Zanzibar), ili kufika malengo ya ukuaji wa uchumi.

Mafanikio
ya mradi huu katika kuimarisha matumizi mazuri ya fedha za umma
yatafikiwa kwa kuwa na matokeo ya maeneo makuu matanokama vile,
usimaiziwaukusanyajikodi, mpangowabajeti, usimamizi wa bajeti, uwazi na
uwajibikaji, usimamizi wa matumizi ya fedha zilizopangwa kutumika na
kugundua matumizi ya nayoweza kujitokeza baadae na mabadiliko ya Uongozi
pamoja na uangalizi na mawasiliano kwenye mambo yafedha.
Maboresho
ya fedha za umma yanaenda sanjari na maboresho katika sekta za umma
ambayo yanalenga kuimarisha utendaji bora na makini katika kutoa huduma
ambazo zinakuza uchumi ulioimara.
Mpango
wa maboresho ya fedha za umma awamu ya nne (IV) pia utaangalia/utalenga
kwenye kuwajengea uwezo wale wote wanaofanya shughuli za maboresho ya
fedha za umma katika Nyanja tofauti tofauti. Kufuatilia na kufanya
tathmini katIka uwigo uliowekwa kwa kuangalia vipau mbele ambavyo
vitatoa muelekeo na kufikia matokeo mazuri.
Kuhakikisha
kuwa ripoti za fedha zinazotolewa zinakuwa za aina moja bila kuwa na
utofauti wa aina yoyote. Kuwa na uongozi mzuri ambao umepanga vizuri
Taasisi za fedha. Kuzilenga
na kuzipa nguvu wakala ambazo zinaguswa moja kwa moja katika mifumo ya
fedha za umma. Mradi huu unafadhiliwa kwa pamoja na Benki ya Maendeleo
ya Afrika (AfDB na Bank ya Dunia (WB),DfID, CIDA, DENMARK, IRELAND na
KFW. Hawawote walisaini makubaliano ya kuchangia katika mradi huo.
Mpaka
sasa hivi mradi huu umepata mafanikio makubwa hasa ya kuweka mfumo
mzuri wa malipo, muda wa kupitishwa kwa bajeti ya Taifa umeimarika na
fedha zinatoka kwa wakati. Aidha bajeti ya mwananchi inatangazwa
katika Tovuti ya Wizara ya fedha.Mtandao wa malipo umefika mpaka katika
Serikali za Mitaa.CREDIT MICHUZI MATUKIO

Post a Comment