Staa wa Bongo Movie, Blandina Chagula ‘Johari’, ameshangaza
kutokufahamu uhusiano wa urafiki na watu maarufu baada ya kudai
anashangaa kuwa na marafiki wengi kwa sasa.
Staa huyo alifikia hatua hiyo baada ya kusema kuwa kabla ya kuingia
kwenye uigizaji hakuwa na marafiki lakini baada ya kuingia katika fani
hiyo na kuwa maarufu amekuwa na idadi kubwa ya marafiki.
“Najulikana kwa sasa na naamini ustaa wangu na kazi zangu nilizofanya
kwa umaridadi ndio unaonipa marafiki nje na ndani ya Tanzania,”
alimaliza Johari.
Post a Comment